13 Jan 2008











Muda mfupi uliopita nilikuwa naangalia documentary moja ya Louis Theroux kuhusu maisha ndani ya San Quentin State Prison,one of the toughest and most dangerous in the U.S. of A.Katika documentary hiyo iliyoonyeshwa BBC2 Louis alipewa access ya wiki mbili ndani ya jela hiyo,na kwa hakika simulizi na mandhari ya humo ni ya kutisha na kuogopesha.It's such a moving documentary that I decided to share with you,msomaji mpendwa wa blogu hii,assuming that you have 60 minutes to spare.WATCH IT HERE

Locked Up ya Akon ft Styles P inaweza kuwa mwafaka kwa post hii fupi


2 comments:

  1. Mzee tunashukuru kwa kushare hiyo video

    Naona inasema kuwa wanaoweza kudownload ni watu walioko UK tu.

    Kuna uwezekano wa sie wa nchi nyingine kuweza kuiona pia, I am impressed by the documentary

    Thanks

    mdau

    ReplyDelete
  2. Boss leo nimepita hapa, habari.
    naomba mkuu ongeza number za post mahala hapa kwani kusoma post mbili pekee hazitoshi.
    Wasalaam.

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.