13 Jan 2011

Baadhi ya Makamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, wakiangalia sehemu ya video iliyokuwa ikionesha jinsi Polisi walivyokuwa wakituliza ghasia huko Arusha.


Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamanda Paul Chagonja akizungumza na Waandishi wa habari katika Makao makuu ya Jeshi hilo leo



TAARIFA YA JESHI LA POLISI


2 comments:

  1. Tatizo wanajua wakisema sorry itabidi ifuate step ingine ya kuwa, wamekubali makosa wajiuzulu.

    ReplyDelete
  2. SIO SORRY, WAUWAWE FULL STOP. WAMESABABISHA MAUWAJI HAWA WATU, WAMEWAUWA WATOTO WA TANZANIA AMBAO WAMESHINDWA NA WAMECHOKA KUISHI NA AIBU. KATIKA KUDAI HAKI YETU KWA AMANI, HAWA WAUWAJI WANATUUWA!! MOTO UMEANZISHWA TANZANIA, HATUBURUZWI KIJINGA.

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.