18 Feb 2013


I hope hao wababaishaji wetu wa Usalama wanaweza kuwa na mahala pa kuanzia uchunguzi wao. Tatizo ni kwamba wapo mahiri zaidi kutuandama akina sie tusio na madhara yoyote badala ya ku pre-empty uhalifu kama wa magaidi waliomuua Padre Evarist Mushi huko Zanzibar

1 comment:

  1. ndio maana mnatekwa na kuumizwa kwa kufikiria mambo bila kuchunguza , hiyo ni taasisi na ipo kwa ajili ya kukumbushana kwenye mambo ya dini na wala sio kama ambavyo umeipost hivii. Ila umejitahidi enedelea kuelimisha jamii kupitia blog , ina maana unaimani ya kuwa tz au zanzibar kuna ugaidi?
    wako ndugu zenu kibao huku hatujawafanya kitu na wanatuharibisa system ya masiha ya wazanzibar na hatujawachkulia hatua yyoyotee.
    big up ndugu yangu

    ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.