tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post1060270219073739394..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : D.R.C kuwa uwanja wa 'VITA WAKALA' (Proxy War) Kati ya Tanzania na Rwanda?Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-82815255793451802022013-09-18T01:55:48.111+01:002013-09-18T01:55:48.111+01:00Tanzania Iko fiti kichizi kwenye Uchachero. Wakati...Tanzania Iko fiti kichizi kwenye Uchachero. Wakati tukimboa mataifa ya kusini mwa Afrika nchi ilikuwa makini sana. Ndio maana Makaburu hawakuweza kuimaliza maana wajua wazi kuwa tulifunza Askari wa ukombozi kupambana Msumbiji Namibia Angola Zimbabwe na hata ANC wa Africa Kusini. Wewe Unafiri Id Amin alikuwa lelege lege? Jamaa aliwakunjia Waingereza Akapokea mateka wa Waizraeli Na walipoenda kuokoa mateka akaua baadhi ya makomando wao, And he got away. Lakini Tanzani ikamkongoli yeye na silaha kemkem alizokuwa nazo kutola Libya na Arabuni.<br />Kagame nakuonya, tenana nakuonya sana' Find another means of suicide. Acha Ukumbafu!Big Cat! "Jaguar"https://www.blogger.com/profile/08029026587659689319noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-3291923143015467072013-07-16T04:27:23.922+01:002013-07-16T04:27:23.922+01:00Yah! no comment, Hapo umechambua na upo sahihi kab...Yah! no comment, Hapo umechambua na upo sahihi kabisa kwa 100%, udogo wa eneo "nchi" ya Rwanda sio kigezo kuwa hawataiweza Tz.<br />Especially kuhusu hao wanyarwanda waliopo hapa Tz ni wazo kubwa sana la kuangaliwa Mosseinchttps://www.blogger.com/profile/10601110880920219705noreply@blogger.com