tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post1062935662141316196..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Ijumaa Kuu Njema.Tukumbuke Kwanini Yesu Aliteswa na Kufa MsalabaniEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-88397524377101289982011-04-23T03:04:14.631+01:002011-04-23T03:04:14.631+01:00Huu ni wakati wa kutafakari kusudi hasa la maisha ...Huu ni wakati wa kutafakari kusudi hasa la maisha yetu hapa duniani. Maisha yetu yana thamani na lengo muhimu ndiyo maana Yesu Akaja kutufia. Ni wajibu wetu basi kuwasaidia ndugu zetu wanaoteseka na kuwa kiini cha faraja na farijiko kwa wengine hapa duniani. <br /><br />Ingependeza kama nini kuona kuwa mafisadi wote wanatoa zaidi ya nusu ya utajiri wao kusaidia masikini katika kipindi hiki tunapokumbuka mateso ya Mkombozi wetu. Ati hayo mabilioni yote yatawasaidia nini siku watakapokuwa kimya katika majeneza yao ya thamani? <br /><br />Nakutakia Pasaka Njema kwako wewe pamoja familia yako!!!Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-31962027847497620992011-04-22T18:21:52.889+01:002011-04-22T18:21:52.889+01:00Asante mdau Malkiory na asante dada Yasinta (nitaw...Asante mdau Malkiory na asante dada Yasinta (nitawasilisha salamu kwa sista).Evarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-67183764802785180942011-04-22T18:11:10.645+01:002011-04-22T18:11:10.645+01:00Nawe pia na msalimia Sista Maria-Solana.Nawe pia na msalimia Sista Maria-Solana.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-51109574149161243112011-04-22T09:20:18.387+01:002011-04-22T09:20:18.387+01:00Na kwako pia.Na kwako pia.malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.com