tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post1508205786313209752..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Msimamo Wa Slimcony Kuhusu UshogaEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-51060445155309413132012-07-06T20:27:01.289+01:002012-07-06T20:27:01.289+01:00HEHEHEHE USHOGA HAUKUANZIA MAJUU UPO DUNIANI KO...HEHEHEHE USHOGA HAUKUANZIA MAJUU UPO DUNIANI KOTE KABLA NA HATA YA WAARABU NA WAZUNGU KUJA AFRICA:
USHOGA NI HISIA NA UJONGWAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-15132773829238447402012-06-22T10:03:14.848+01:002012-06-22T10:03:14.848+01:001. Swala ni mazoea ya kupokea kila kitokacho majuu...1. Swala ni mazoea ya kupokea kila kitokacho majuu. Tulianza na kupokea dini hapo zamani na kuacha dini zetu, hadi leo tunapokea vitu, tamaduni na ustaarabu toka huko huko. Kinachofanyika majuu hata kama ni kibaya iko siku wakati utafika tutakubari kama tulivyokubali hayo mengine na mashoga wataoana.

2. Wanafiki ni wale walio na mahusianao na mashoga (bila mashoga, mabasha au wasagaji mashoga wasingekuwepo)na wengine wako serikalini na wengine ni watunga sheria wanapojidai nao kupinga ndoa hizo.

3. Au ni kwa maumbile aliyopewa na Mungu au kwa kujifunza na hatimaye akazoea, shoga anavyojisikia hatuwezi kumusemea na hasa yule aliyezaliwa akajikuta yuko hivyo nae anahaki ya kuishi kwa tendo la ndoa bahati mbaya ni tofauti na dini inavyotaka. Lakini ni dini hiyohiyo inasema kazi ya Mungu haina makosa. Hakujiumba na hakupenda awe hivyo aliumbwa kama ulivyoumbwa wewe ukiwa mtimilifu kijinsia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-78520323583427673842012-06-11T07:16:52.636+01:002012-06-11T07:16:52.636+01:00Moja kati ya haya mawili ni sahihi, makala yako ha...Moja kati ya haya mawili ni sahihi, makala yako haieleweki au mimi sijaelewa. Alokwambia wanaopinga ushoga hawapingi dhambi nyingine nani? haujaona wezi wakichoimwa moto au hiyo ndo si kupinga wizi? hujaona matangazo yote yanayoelimisha na kukataza ngono? hujashuhudia ndoa za mkeka wewe au za mafungu ikiwa ni katika kukataa zinaa? ashukuriwe MUNGU hata walarushwa twawaona wakipelekwa mahakamani?ulitaka vipingweje labda?hao ulowaita wanafiki ulitaka wafanyaje uone wanakemea vyote?sitaki kuamini kwamba wewe ndo mnafiki ila nadhani yabidi kufikiri na kuwa na msimamo kama baridi ni baridi na joto ni joto. Hakuna dhambi ndogo wala kubwa ila afanyaye zinaa afanya dhambi juu ya mwili wake tofauti na zingine, ukiamua kula nguruwe kula alonona hivyo wamaanisha ukiamua kuzini ufanye na jinsia yako? sodoma na gomora siamini kama ziliangamizwa shauri ya wivu. HAYO NI MAONI YANGU NA NDIO MSIMAMO WANGUAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-35621043911335961882012-06-11T06:54:21.970+01:002012-06-11T06:54:21.970+01:00Hapo ni ukweli kabisa. Wengi wetu ni wanafiki....Hapo ni ukweli kabisa. Wengi wetu ni wanafiki....Anonymousnoreply@blogger.com