tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post2341175895548364185..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : MWALIMU TUNAKUKUMBUKA LAKINI....Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-34829732844904865762009-10-14T11:29:58.082+01:002009-10-14T11:29:58.082+01:00Enzi za Mwalimu ukimbishia angeku-KAMBONA!
Nafikir...Enzi za Mwalimu ukimbishia angeku-KAMBONA!
Nafikiri ndio maana Waheshimiwa wakaribu naye walishastukia mkao wa NDIO Mzee!

Na labda kulikuwa hakuna ujanja wakati ulishaambiwa ''ZIDUMU FIKRA SAHIHI za MWENYEKITI!''.
Unafikiri sasa ungezibishiaje baada ya kudai FIKIRA za Mwenyekiti ni SAHIHI?
:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com