tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post287959389212921959..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Mwanahamisi Mruke: Case of Enslaved Tanzanians in the UK?Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-7746139191177188342010-09-15T20:19:42.944+01:002010-09-15T20:19:42.944+01:00Kweli inasikitisha sana! Hawa wenzetu wahindi wana...Kweli inasikitisha sana! Hawa wenzetu wahindi wanatabia za ajabu sana, najua hata nyumbani TZ wananyanyasa sana watanzania. Na huwa wanasazhau wakiwa nje ya nchi(TZ) wanaendeleza ujinga wao. Huwezi kumlipa mtu pound 10 kwa mwezi! Hayo ni malipo ya one hour! Afadhali wakomeshwe kabisa ili wajue kuwa mambo ya slavery yalikuwa karne hizo sio sasa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-83068757556497847722010-09-15T16:57:38.044+01:002010-09-15T16:57:38.044+01:00Nadahani matatizo ni mengi katika bara la Africa.....Nadahani matatizo ni mengi katika bara la Africa...Mimi Mtazamo wangu ni kwamba tuliharakisha kudai uhuru wa nchi zetu kutoka kwa wakoloni....labda tungedai uhuru kipindi hichi tungeweza kupata viongozi wazalendo kulinda utawala wa sheria...Kimsingi haya yametokea UK...Naamini hapa kwetu Tanzania ni matukio mengi mno majumbani mwetu, ofisini za serikali na sekta binafsi na pia viwandani. <br /><br />Na kamwe hakuna hatua madhubuti zinachukuliwa kulinda raia...Angali hapa Morogoro Napo tutamchagua Azizi Abood kuwa mmbunge!!!!!!!!!!!, <br /><br />Sasa cha kushangaza waajiriwa wake Abood wanayotendewa sidhani kama yanakubalika na sheria za mahala pa kazi.....Sijui tunakwenda wapi!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-52522350945266209222010-09-15T14:07:10.606+01:002010-09-15T14:07:10.606+01:00POle sana Dada Mruke...Ni matokeo ya siasa mbovu n...POle sana Dada Mruke...Ni matokeo ya siasa mbovu na viongozi wabovu wa serikali ya Tanzania inayozalisha watanzania maskini na kuwa vulnarable kwa kukosa matumaini ya masisha ya watanzania tulio wengiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-40541673303305681132010-09-15T11:44:56.884+01:002010-09-15T11:44:56.884+01:00Inasikitisha sana hii stori!:-(Inasikitisha sana hii stori!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com