tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post3511890449427058453..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Ewe Mpiga Kura Nakusihi Usipoteze Nafasi Hii Adimu Jumapili IjayoEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-83210068540528182612010-10-30T06:57:33.090+01:002010-10-30T06:57:33.090+01:00Mpendwa wangu Evarist Chahali na wana chadema wote...Mpendwa wangu Evarist Chahali na wana chadema wote popote mlipo.nawakumbusha tu kuwa imebaki siku moja au masaa kadhaa hivyo nyote mnaombwa kupiga kura kesho...mimi nitampigia JK na wabunge wake...wewe jelaizanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-83852905417771987702010-10-25T02:25:17.922+01:002010-10-25T02:25:17.922+01:00Sisi siyo maskini. Tumefanywa maskini na viongozi ...Sisi siyo maskini. Tumefanywa maskini na viongozi wenye umaskini wa uongozi na mawazo mgando. Wengi wao tunawaita mafisadi kwa heshima tu. Ukweli wao ni mafisi si mafisadi tu. Ni zaidi ya hapo. Wana roho mbaya akili mbaya tabia mbaya nia mbaya mawazo mabaya na kila kitu kibaya tu. Kuirejesha CCM madarakani ni dhambi ambayo hata shetani hawezi kuisamehe. Nawasikitikia wale misukule ya CCM yaani wanaojiita wapenzi na mashabiki. Hawa ndiyo chanzo cha maafa kuliko hata CCM yenyewe maana bila wao CCM si chochote si lolote.<br />Askari wetu nao wanaotumiwa kama nepi inabidi mwaka huu wakengeuke na kujikomboa kwa kughahamu kutumia na CCM kama kawaida kuiba kura.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-86705185101866584832010-10-25T01:23:15.197+01:002010-10-25T01:23:15.197+01:00Mmmmh!Mmmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-64912769997269065602010-10-25T00:53:50.689+01:002010-10-25T00:53:50.689+01:00Mkuu ni heri ya mkoloni mzungu kuliko ukoloni wa m...Mkuu ni heri ya mkoloni mzungu kuliko ukoloni wa mwafrika kwa mwafrika au mtanzania kwa mtanzania. Nchi ya Finland haijawahi kutawala nchi yeyote bali wao walipata kutawaliwa na Warusi na Waswidi.<br /> But today Finland is the most prosperous country in the whole world. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba historia ya kutawali isiwe ni kigezo na visingizio vya umasikini wetu. Umasikini wetu chimbuko lake ni Uongozi mbovu.malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.com