tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post3551337302837103784..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : GANGSTER JUSTICE: TRIGGER-HAPPY TANZANIA POLICE FORCEEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-56736295571954202072010-12-16T16:35:13.217+00:002010-12-16T16:35:13.217+00:00Biashara ya viungo vya ma-albino inafanywa na mafi...Biashara ya viungo vya ma-albino inafanywa na mafisadi maana hata hiyo bei ya viungo ni ghali sana kwa mamilioni ya shilingi hivyo ni moja kwa moja ni mafisadi. Ambao ushahidi unaonesha kuwa kuna mafisadi na nje ya serikali hii ya sasa, Na kamwe hawawezi kufanya lolote. Ushahidi mmoja wapo hivi karibuni fisadi mmoja alitangazwa na taasisi kuu ya kupambana na rushwa kama inavyojiita na kujibatiza jina. Bila aibu wala haya mkuu wao aliposema huyo bwana kesi yake ya ufisadi imefutwa na taasisi ya kweli ya kiengereza ya kupambana na rushwa na michezo michafu.....Kesho yake balozi wa Uingereza Tanzania alikanusha na hakuna chochote kilichofanyika kumwajibisha huyo kiongozi aliyasema hayo...Hivyo husishangae kauli ya waziri mkuu kuhsu watuhumiwa wa biashara ya viungo vya ma-albino...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-15683828100128089002009-10-05T03:55:17.798+01:002009-10-05T03:55:17.798+01:00Sijui ni nini tunahitaji nchini mwetu. Yaani hii t...Sijui ni nini tunahitaji nchini mwetu. Yaani hii tabia ya kuwa-treat watu kama takwimu inaniuma saaana<br />Juzu nimeangalia kipindi cha ABC Tv kuhusu mauaji ya albino na Waziri Mkuu anaulizwa kuwa kwa miaka 2 ya mauaji hayo, na watu 200 kuwekwa mbaroni, mbona hakuna kesi inayoendelea anasema "tunalifania kazi. Vitendea kazi havitoshi".<br />Sasa watu wanaouawa waifikiriaje serikali? Na sasa ona idadi hii<br />Mie sijui la kuifanyia serikali kwa kweliMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com