tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post4685277373871132952..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Ama Kweli Mungu si Tambwe HizaEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-77599788174768342242011-01-23T10:30:22.388+00:002011-01-23T10:30:22.388+00:00Mmmmh!Mmmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-60158918473125691912011-01-22T18:55:47.330+00:002011-01-22T18:55:47.330+00:00Evaist kweli umetoa. Imagine tungekuwa na watanzan...Evaist kweli umetoa. Imagine tungekuwa na watanzania 10% wenye uwezo wa kudigest mambo kabla ya kuyatoa mdomoni au kabla ya kuyaweka kwenye vitendo tusingefika hapa tulipo. Hivi unafikiri Dr. anaweza kupata wanasheria wa kumsaidia kumfikisha Tambwe hiza na CCm vijana mahakamani kwa kosa la kumdhalilisha kumwita kichaa?<br /><br />Je, hawezi kwenda kupata vyeti vya madaktari kuhusu hali yake ya ubongo halafu aitumia kwenda kuwashitaki Chukua Chako Mapema?<br /><br />Imagine nchi yetu ingekuwa na watu wanaotoa hukumu kufuatana na haki, Zombe angekuwa huru au mzee wa vijisenti angekuwa huru wakati yule kijana aliyemsababishia kifo Wangwe yupo jela? Aloua awatatu na mwingine wawili wapo huru wanapeta pamoja na kwamba kama umeshitakiwa na kuhukumiwa huna sifa ya kuwa kiongozi wa serili au chama chochote kikatiba.Anonymousnoreply@blogger.com