tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post4921512298879660312..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Makala Yangu Ktk RAIA MWEMA Toleo la Sept 19: "Wameasi Dini Lakini Maadili Yako Juu"Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-78472757176740281062012-09-21T20:27:34.815+01:002012-09-21T20:27:34.815+01:00Nimefurahi kuisoma makala hii. Mimi ni miongoni mw...Nimefurahi kuisoma makala hii. Mimi ni miongoni mwa watu ambao sioni tena umuhimu wa hizi dini za Kimagharibi. Nashukuru na nafurahi kusikia waingereza nao hawatilii mkazo tena hizi dini. Na natamani sana watu wote duniani wangetambua namna walivyo watumwa kwa kuwa wafuasi wa wasichokijua na kuishia kuamini tu. Nashangaa sana hata wasomi wanashindwa kung'amua utumwa huu, tena utumwa wa akili.

Ninafurahi kusikia waingereza wakisali sala ya kweli, sala hii ya kujali utu, sala ya pekee iliyo na nguvu tena kuliko sala nyingine yoyote ile. Waingereza wanajali ubinadamu, wanaitambua thamani ya uhai wa binadamu na wanawekeza kuulinda na kuuthamini, jambo ambalo, ndilo kila mmoja wetu anapwaswa kulizingatia. Najifunza namna nchi ya uingereza inavyowatunza watu wake.

Sina hakika kama pia wanawatunza hivihivi hata na watu wa nchi nyingine, lakini hata kwa kuwatunza tu raia wake, bado tunaweza kuipigia mfano nchi hii. Watu wengi kutaka kuishi katika nchi hii pomoja na nchi nyingine za Ulaya, ni dalili nzuri ya uwepo wa maisha bora kuliko huko watu wanapopakimbia.

Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.com