tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post4949716105714573871..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Picha za Maandamano ya Kuun'goa Utawala wa Hosni Mubarak nchini MisriEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-7679888123705528792011-01-31T11:02:26.316+00:002011-01-31T11:02:26.316+00:00huo ndo ukweli ila twaweza?huo ndo ukweli ila twaweza?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-45199878398587846882011-01-29T18:42:22.850+00:002011-01-29T18:42:22.850+00:00Inawezekana kabisa. Egyptian Polisi wanaweza kuwa ...Inawezekana kabisa. Egyptian Polisi wanaweza kuwa wanatunzwa vizuri kuliko hawa wakwetu. Wakwetu wataanza na jazba lakini watasurrender mapema sana. Kwanza hawana vifaa vyakutosha na zaidi ya hapo ni juzi tu wameondolewa yale marupurupu waliyopewa ya danganya toto wakati wauchaguzi. Kwahiyo ni watu wenye njaa na frustration kama wananchi wakawaida tu.Trust me kwamtindo huu Tanzania inaelekea huko. Hakuna kisichowezekana chini ya jua.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-68280431545345976202011-01-29T13:40:35.080+00:002011-01-29T13:40:35.080+00:00Mmmmh! usiombee yatukute nchini kwetu, wewe umepoz...Mmmmh! usiombee yatukute nchini kwetu, wewe umepozi huko UK unataka wenzio tutolewe macho tukiwa hai....Mwenyezi Mungu tuepushie balaa hiliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-51918309334101795402011-01-29T12:16:51.275+00:002011-01-29T12:16:51.275+00:00Kazi ipo hapa polisi wamezidiwa na waandamanaji. M...Kazi ipo hapa polisi wamezidiwa na waandamanaji. Madikteta hawa wanapaswa kuelewa kuwa kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Nayasubiri mapinduzi ya watanzania kuwashughulikia mafisadi.malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-69791238827003731102011-01-29T03:07:04.107+00:002011-01-29T03:07:04.107+00:00Mmmmmh!:-(Mmmmmh!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com