tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post7060747149665748234..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : MZAZI HUYU FISADI ANAPASWA KUWAJIBISHWA.SWALI NI NA NANI NA KWA VIPIEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-17405780808526754322009-01-09T03:54:00.000+00:002009-01-09T03:54:00.000+00:00Huyu kawekeza kwa mwanae. Lakini tatizo ni kile aw...Huyu kawekeza kwa mwanae. Lakini tatizo ni kile awekezacho na yule amwekezeaye. Hajiharibii yeye kama anavyoiharibia jamii. Na kwa hakika nyumbani hatuna mamlaka ya jumla kwa jamii toka kwa serikali. Unaona watoto wanavyonyanyaswa, wanavyotumikishwa na sasa wanavyoleweshwa tena mbele ya hadhira bila ya wa kuuliza. Inasikitisha saana.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com