tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post7369921116293456158..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : TAKUKURU:HATUMCHUNGUZI MKAPA,TUNALINDA NA KUHESHIMU KATIBAEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-41481343146506303842008-12-28T12:06:00.000+00:002008-12-28T12:06:00.000+00:00Hujasikia mtu anauza baiskeli ili anunue kengele? ...Hujasikia mtu anauza baiskeli ili anunue kengele? Ndio haya. Tunaloendeleza hapo sijui ni utawala bora ama nini? Na ujumbe unaotumwa kwa viongozi ni kuwa "endelea tu kwa kuwa una kinga na hakuna atakayekugusa?" ama? Kwani nani kasema Mkapa ni mkosaji? Ni mshukuwa ama mtuhumiwa na akichunguzwa kwa umakini anaweza kuwa safi (kama ambavyo amesisitiza mwenyewe kuwa hajafanya lolote baya). Sasa yeye mwenyewe anasema yuko safi, kwanini TAKUKURU wasifanye kile wananchi wanataka na baadae matokeo (kwa mujibu wa rais mstaafu) yatakuja kuwadhihirishia kuwa yu-safi (if any?) Ila wasifanye conclusions kabla hawajaanza uchunguzi. Yaani wasijaze fomu kuwa yu-safi halafu ndo waanze kusaka vigezo vya kusindikiza maelezo yao.<BR/> BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-33450809211652779202008-12-24T19:27:00.000+00:002008-12-24T19:27:00.000+00:00Kazi Ipo!Tusije tukatunza katiba ya nchi na kupote...Kazi Ipo!Tusije tukatunza katiba ya nchi na kupoteza nchi lakini:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com