tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post7511829430162631000..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : I Miss You So Much,Mom: Kumbukumbu ya Miaka Minne ya Kifo cha Mama ChahaliEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-579797672683684612012-06-03T17:58:48.270+01:002012-06-03T17:58:48.270+01:00Mpiganaji Chahali,mola azidi kukufariji.Mpiganaji Chahali,mola azidi kukufariji.Malkiory Matiyahttp://www.malkiory.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-76474997338829816892012-05-30T18:20:12.068+01:002012-05-30T18:20:12.068+01:00Pole sana Prof Chahali!
Miss TambiPole sana Prof Chahali!<br /><br />Miss TambiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-48708231953822166212012-05-29T12:49:21.196+01:002012-05-29T12:49:21.196+01:00Kaka pole sana kwa kupoteza mama na kwa mapenzi yo...Kaka pole sana kwa kupoteza mama na kwa mapenzi yote unayoyakosa,tarehe kama ya leo mimi na ndugu zangu mama mzazi pia tulipoteza pengo lake mpaka leo ni gumu kuzibika na kila siku inayopita lazima namkumbuka ktk njia moja au nyingine,kama maumivu uliyonayo nayafahamu na inapaswa kuwaombea wapendwa mama zetu wapumzike kwa amani na wapate mwanga wa milele,mpaka tutakapokutana nao tena.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-47551936709513607092012-05-29T12:16:51.883+01:002012-05-29T12:16:51.883+01:00Poleni sana familia ya Chahali,Mungu aendelee kuwa...Poleni sana familia ya Chahali,Mungu aendelee kuwatunza.Raha ya Milele umpe ee Bwana.................Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-76230907257168787292012-05-29T12:06:44.646+01:002012-05-29T12:06:44.646+01:00inasikitisha, pole ndugu yetu, kifo hakizoeleki, n...inasikitisha, pole ndugu yetu, kifo hakizoeleki, nilimpoteza baba na kaka hakuna siku sijawakumbukaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-83560318850361591912012-05-29T08:19:52.435+01:002012-05-29T08:19:52.435+01:00Tupo pamoja katika kumbukumbu hii ya mama nakuelew...Tupo pamoja katika kumbukumbu hii ya mama nakuelewa kabisa ni uchungu gani ulionao. Lakini yote ni mapenzi ya Mungu kilichobaki ni kumwombea mama. Yupo nawe wakati wote kiroho.Mama Adelina PUMZIKA KWA AMANI.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com