tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post8464821491564274835..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Hivi Waheshimiwa Wanapungukiwa Lipi Wakijichanganya na Sie Watu wa Kawaida?Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-16271039526468705052010-12-31T11:00:12.409+00:002010-12-31T11:00:12.409+00:00Pole sana kwa maswahaibu hayo yaliyokukuta. Ushaur...Pole sana kwa maswahaibu hayo yaliyokukuta. Ushauri wa bure kumfahamu mtu binafsi kwa mawasiliano siyo tatizo ni mtu unayetaka kufahamia naye.<br /><br />Ni mtu wa namna gani kwa tabia yake binafsi Nadhani ilo ndilo la msingi hapo. Achana kutaka kufahamiana na mtu kwa ukaribu hasa wanasiasa isipokuwa piam huduma yake kwa jamii na maendeleo na huo ndiyo ubaki uhusiano wako na yeye. <br /><br />Iwapo anashindwa kusaidia jamii na maendeleo basi mlete hapa blogini kama ulivyofanya sasa na sisi tutamjadili na kumpa vidonge vyake au sifa anazostahiliAnonymousnoreply@blogger.com