tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post8715816298988411687..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : While Sceptics Are Up in Arms over Chadema's Free Education Policy,Senegal Welcomes Haitian Students for Free EducationEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-65773528999596710842010-10-18T00:10:56.729+01:002010-10-18T00:10:56.729+01:00Wanafiki na wezi wa fadhila waliogoma kufikiri wan...Wanafiki na wezi wa fadhila waliogoma kufikiri wanasema elimu ya bure haiwezekani wakati wao ni matunda ya elimu ya bure. Wanasema ukweli kutokana na ukweli kuwa pesa ambayo wengetumia kutoa elimu ya bure wamewazawadia mafisadi kwa kuwapa mtaji wa kuingia ikulu.<br />Ni ajabu watanzania kuamini kuwa elimu ya bure haiwezekani wakati ni jana jana tu tulikuwa tukisoma bure kabla ya mafisadi kuchukua nchi!<br />Kwa mafisadi elimu ya bure haiwezekani. Lakini kwa wazalendo na watu makini, elimu ya bure ni reality, Think about that. Kuna haja gani ya kuchagua watu waliojionyesha wazi kuwa wako madarakani kutetea ufisadi wakiendeshwa na mafisadi kama vibonzo? Kuna haja gani kuchagua watu wasioamini umma wala Mungu bali ushirikina na ramli? Think again this time a bit critically.<br />Kuna haja gani kuchagua watu walioishiwa katika kila fani hadi wakategemea usanii, matusi, uongo na vitisho kama sera badala ya sera? Tell me wapiga kura.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com