tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post8860693295992160634..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : SHAME ON YOU,TAKUKURU.NI NJAA AU UBABAISHAJI?Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-86264294406324589002011-07-15T11:41:20.167+01:002011-07-15T11:41:20.167+01:00HATIMA NI VITA, HAKUNA KINGINE, BILA KUTOANA ROHO ...HATIMA NI VITA, HAKUNA KINGINE, BILA KUTOANA ROHO ZA KIFISADI HAPO HATUENDI POPOTE.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-37734820717488266882009-05-11T00:00:00.000+01:002009-05-11T00:00:00.000+01:00Mzee wa Changamoto,yaani changamoto zinazolikabili...Mzee wa Changamoto,yaani changamoto zinazolikabili taifa letu zinaongezeka kila kukicha na sijui hatma yetu ikoje!Evarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-52154515628739343632009-05-10T18:54:00.000+01:002009-05-10T18:54:00.000+01:00Kaka. Pole saana kwa haya ukabilianayo nayo. Niliw...Kaka. Pole saana kwa haya ukabilianayo nayo. Niliwahi kuuliza tangu mwanzo kuwa kama kuna wenye dhamana ya kutambua na kuwakamata hawa mafisadi, iweje leo hii waje watajwe na Mengi kabla yake? Yaani kama Mengi anafikia hatua ya kuwataja, basi ana (japo) ushahidi (anaoamini) wa kutosha kuwahusisha hawa watu na ufisadi huu. Lakini kama anaweza kuwa nao na wahusika TAKUKURU NA SERIKALI KWA UJUMLA hawana, basi ni afadhali tukabinafsisha hiyo taasisi kwa Mengi. Na swali lisiloulizwa ni kuwa huyo Mengi amepataje taarifa ambazo wengine hawana? Ana mtandao wake wa kusaka habari ana anatumia njia za kifisadi kuzipata taarifa hizo?<br /> Sasa ona haya yanayotia aibu kwa Takukuru kukabidhiwa ushahidi hadharani. Aibu kuliko maelezo. <br /> Ni upumbavu uliozidi upumbavu wenyeweMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com