tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post8975940558839665071..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Dkt Slaa Apuuza Uropokaji wa Salva.Amtaka Kikwete Ajiuzulu Kuhusu DowansEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-23232883610261142212011-01-05T22:06:24.199+00:002011-01-05T22:06:24.199+00:00Jamani mwenye macho haambiwi tazama. Hivi kweli un...Jamani mwenye macho haambiwi tazama. Hivi kweli unaweza kumpigia debe mtu aliyekuwa mtuhumiwa wa Richmond nasijui so called msimaizi wa Dowans alafu useme mmiliki wake humjui? Kwani si-kiasi chakumpigia Rostam simu nakuuliza hivi mkubwa wako wa Dowans ni nani? Napata hasira mtu anapojaribu kuona watanzania wote nimapunguani. Kwakweli JK hana jinsi kipindi hiki niku-accept responsibilities ya yote yanayotokea.Huwezi kuwa kiongozi safi ukawa na wasaidizi mafisadi unless na wewe ni fisadi kiaina. Kitu kinachoshangaza kunawatu bado wanasema kidumu chama cha mapinduzi insasikitisha kwakweli. Kama CCM kuna watu safi kwanini wanakubali kuongozwa na mafisadi? Mimi siko kwenye chama chochote lakini I can't figure out the motives behind those Kikwete followers. It does not make sense at all if you real love your country.Anonymousnoreply@blogger.com