tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post9184162905710129183..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Takriban Nusu Karne Tangu Tupate Uhuru Bado Hatujui Vipaumbele Vyetu!?Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-80755077055160376592010-06-18T16:19:19.683+01:002010-06-18T16:19:19.683+01:00Kuishi ama kuendesha shughuli zozote pasipo kuwa n...Kuishi ama kuendesha shughuli zozote pasipo kuwa na kufanya tathmini wapi tulipo, wapi tunakwenda, nani anatufikisha kwenye malengo yetu, njia zipi zinatumika, na kwanini tunashindwa kufikia malengo....Hilo ndiyo tatizo letu la kudumu kwenye kila asasi zote(kiuchumi, kisiasa na Jamii, watu binafsi. Hivi kweli kama tunataka maendeleo basi CCM kama chama na viongozi wake wamepitwa na wakati kabisa katika karne hii...ushahidi hupo wazi na kila mtu anatambua hilo kitaifa na kimataifa...Hatima ya maendeleo ya Tanzania yapo mikononi mwa watanzania wenyewe kama wanataka maendeleo ama kama walivyoamua sasa kuendelea kuwa maskini wakutupwa....Kizazi Kipyahttp://chakarika.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-51205301102985133032010-06-18T08:39:38.855+01:002010-06-18T08:39:38.855+01:00Kazi tunayo! Kufa hatutakufa ila cha moto tutakion...Kazi tunayo! Kufa hatutakufa ila cha moto tutakiona :-(o'Wambura Ng'wanambiti!https://www.blogger.com/profile/17146066311562834541noreply@blogger.com