tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post962143830683768738..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : 12:34:56 7/8/9 ULIKUMBUKA TUKIO ADIMU LILILOJIRI LEO?Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-24311409660368623862009-10-04T16:41:59.590+01:002009-10-04T16:41:59.590+01:00nimependa ung'amuzi huu.nimependa ung'amuzi huu.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-46194140691013829672009-08-07T23:34:06.762+01:002009-08-07T23:34:06.762+01:00Wamarekani wanapenda kufanya mambo kivyaovyao. Pam...Wamarekani wanapenda kufanya mambo kivyaovyao. Pamoja na hilo la tarehe, mengine ni pamoja na kukataa kutumia metric system katika vipimo vyao (hapa tunatumia paundi, yadi, maili n.k.), tofauti ya vipimo vya umeme, mfumo wa televisheni tofauti, "football" yao inachezwa kwa kutumia mikono, kuendeshea magari upande wa kushoto mwa barabara na hata jinsi tu ya kuwasha umeme unapoingia chumbani hapa ni kinyume. Inaonekana ni kama vile walikuwa wanatafuta njia za kuwa tofauti na watu wengine.Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.com