tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post1252855197217542740..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : HATIMAYE ZUMA ANAINGIA IKULU SAUZIEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-74979813604501857352009-05-08T16:50:00.000+01:002009-05-08T16:50:00.000+01:00Si utani ndugu yangu.Uongozi Afrika ni vituko juu ...Si utani ndugu yangu.Uongozi Afrika ni vituko juu ya vitukoEvarist Chahalihttps://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-82683833540192097972009-05-07T15:05:00.000+01:002009-05-07T15:05:00.000+01:00Mie yangu macho tu!Huyu jamaa kaahidi mpaka basi ,...Mie yangu macho tu!Huyu jamaa kaahidi mpaka basi , sasa tusubiri akianza kushindwa kutimiza atachukua hatua gani!

Ila jamaa wanakuambia ndiye Mwanasiasa Afrika ambaye hauwezi kuchoka hotuba zake.

Hakawii kukata hotuba akawaimbieni na kucheza muziki unaoingizwa katikati ya hotuba, halafu akarudisha hotuba kuhusu kutetea yeye anafuata mila za Kiafrika ndio maana anawake wengi na inabidi atesti nje kidogo ilikujua Kimwana gani mwingine anafaa kuoa.

Ila jamaa namsifu kwa kujifunza mwenyewe kusoma mpaka kuchezea akili za waliosoma a.k.a wasomi.
Kazi ipo!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com