tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post146794110198208736..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Uchambuzi: Upande mwingine (usiopendeza) wa tumbua majipu ya Dokta MagufuliEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-9530098865016205472016-08-20T08:51:03.039+01:002016-08-20T08:51:03.039+01:00Umeongea vizuri sana kaka ila ukiachia suala la fi...Umeongea vizuri sana kaka ila ukiachia suala la fitina na majungu ndani ya CCM. Kansa nyingine inayosumbua ni hii ya kutaka kila mtumishi wa serikali awe na misuli mipana dhidi ya Upinzani. Na kushndwa kufanya hivyo ni kutumbuliwa. Sasa hii ni miongoni mwa kansa mbaya sana itakayoturudisha nyuma. Tumeacha kushguhulikia maendeleo, tunapeleka nguvu zetu nyingi kupambana na Upinzani. Tunasahau kuwa migongano ya kimawazo ndio nyenzo madhubuti ya kamaendeleo. Hata mitume wa Mungu walikuwa na wapinzani. Tujiulize kwa nini Mungu aliwapa upinzani mitume wake. Je, alikuwa hawapendi? Tutafakari.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/10246739086979642959noreply@blogger.com