tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post237544960925927821..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Dr Kawambwa: A Thin Line Between Loyalty and Sheer Stupidity (PICTURE)Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-44908022889701748492010-09-28T09:30:52.851+01:002010-09-28T09:30:52.851+01:00Nilidhani ukisoma unajihamini lkn kumbe ni kinyume...Nilidhani ukisoma unajihamini lkn kumbe ni kinyume ukiingia kwenye siasa, Maisha gani hayo ya kuomba kura huku umepiga magoti.<br /><br />Na kama ni unyenyekevu basi aendelee hivyo hivyo akishinda bunge.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-28382757101247344752010-09-26T09:39:17.395+01:002010-09-26T09:39:17.395+01:00Hiyo maana yake kwamba huyu bwnaa yeye anavyeti al...Hiyo maana yake kwamba huyu bwnaa yeye anavyeti alivyofuzu kiwango cha PHD lakini hana maarifa binafsi kuendeleza upeo wake wa kufikiria, kimsingi ni kwamba hatufai, na hatuhuitaji wasomi wa namna na hii...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-35268759296742052812010-09-25T14:27:53.402+01:002010-09-25T14:27:53.402+01:00Was he also begging to earn his PhD in the same ma...Was he also begging to earn his PhD in the same manner and fashion? I would not have dared to do the same!malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-68099770563764839992010-09-25T13:16:11.218+01:002010-09-25T13:16:11.218+01:00Huyu ni mtumwa wa kujitakia hataka kama ana PhD. K...Huyu ni mtumwa wa kujitakia hataka kama ana PhD. Kuna wakati mwingine usomi hauondoi upumbavu wa mtu. Kuna haja ya kuanza kuhoji uwezo wake wa kufikiri isiwe ni yale makasuku yaliyokariri tu. Hata kama ni usanii ni wa kipumbavu. Hamkumuona bwana mazingaombwe mkuu akikaa kwenye mavumbi jambo ambalo wajinga wengi eti wameshangaa wakati alitoka huko huko? Kujidhalilisha hivi ni ushahidi wa CCM kuishiwa kila wizara hadi wakatumia mbinu mfu na chafu. Kazi ni kwa wapiga kura wapumbavu ambao kila kitu kimewekwa mbele machoni mwao kumpa kura ili awale.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com