tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post2435248032453065697..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Hotuba ya Rais Jakaya KikweteEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-57913530627448731032011-11-19T00:16:05.432+00:002011-11-19T00:16:05.432+00:00Hapo alipoongelea Katiba, JK ameonyesha mfano bora...Hapo alipoongelea Katiba, JK ameonyesha mfano bora kwa kujikita katika kujenga hoja. Hata kama mtu una fikra tofauti na zake, cha msingi ni kuwa amejikita katika kujenga hoja. <br /><br />Fundisho hili liwafikie wabunge ambao wakati wa mjadala wa siku mbili tatu hizi Bungeni, wameonyesha utovu wa nidhamu kwani badala ya kujadili hoja, tumewaona wakimjadili Tundu Lisu, pia kuzijadili familia za viongozi wa CHADEMA. Sote tunawafahamu wabunge hao, na sina haja ya kuwataja hapa. Ila niseme tu kuwa mambo waliyofanya ni fedheha.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.com