tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post2520513249233551698..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : HUU NI ZAIDI YA UHUNI WA KISIASA.Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-82175360865856616212009-07-03T10:49:46.591+01:002009-07-03T10:49:46.591+01:00Kidumu chama cha mapinduzi...kidumu!
Na kitaendele...Kidumu chama cha mapinduzi...kidumu!
Na kitaendelea kudumu ndani ya ufisadi!

Zidumu fikra za watuhumiwa wote wa ufisadi!
Zidumu!...na wataendelea kupeta katikati ya tuhuma wazi za ufisadi!

(kwa masikitiko makubwa nadhani ccm itashinda kwa kishindo mwakani)Christian Bwayahttps://www.blogger.com/profile/13141394805539015266noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-16684975927476634132009-07-02T00:04:47.606+01:002009-07-02T00:04:47.606+01:00Mie naomba na kuomba na kuomba maana hata sijui uo...Mie naomba na kuomba na kuomba maana hata sijui uozo huu wa nchini tunaupeleka wapi. Yaani ni kama kila kitu kimeoza. Inasikitisha saana. Lakini NAJUA kuwa kinachotuua ni MFUMO ambao umejengwa kwenye MSINGI WA RUSHWA NA KUTHAMINI PESA ukisaidiwa na KUJUANA.
Tunahitaji "mkatili" wa viongozi ili kutusaidia kuinyanyua (kama sio kuifufua) nchi yetu.
Really Sad
Thanx for it Brother.Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com