tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post3496924516734865585..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : KULIKONI UGHAIBUNI-65Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-79237703682010920752007-06-09T17:59:00.000+01:002007-06-09T17:59:00.000+01:00Duh!Mzee kwelitupu!Vipo vipindi ambavyo vinaelimis...Duh!Mzee kwelitupu!Vipo vipindi ambavyo vinaelimisha. Kama ulivyo vitaja hapo juu.Ni kweli mara nyingi ni vigumu kuelewa maisha ya watu wengine bila kujaribu kuishi kama wao. Lakini nahisi pia siku inakuja ambayo inabidi TZ tuwe na vipindi vingi vielimishavyo ambavyo tunajitengenezea wenyewe. Hicho kipindi cha young black farmers sijawahi kukiona. Lakini baada ya dondoo uliyoweka nimejiuliza tu kuwa hao walioonjeswa maisha mengine halafu wakarudi kulekule sijui kwamuda gani wataweza kutumia walicho jifunza. Kwa sababu mara nyingi mazingira unayojivinjari yanaweza kukusababisha ushindwe kuacha katabia fulani. Hapa na maana kuwa, kama wewe mtumiaji madawa ya kulevya halafu unaishi na watumia madawa ya kulevya ni vigumu kuacha hata kama unajua unatakiwa uache.Kwa sababu kuna baadhi ya programs ambazo zinaelimisha watu lakini haziwajengi kujikwamua kutoka katika tatizo.Ningependa Tanzania tukianza kufanya haya maswala uwepo vilevile katika mpango jinsi ya kuwa saidia hata walioshindwa baada ya proguramu.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com