tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post5069296887679046452..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : HII RECYCLING YA VIONGOZI MPAKA LINI?Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-9621784401379620422008-12-28T11:59:00.000+00:002008-12-28T11:59:00.000+00:00Heshima kwako Kaka. Ndivyo ilivyo sasa nyumbani na...Heshima kwako Kaka. Ndivyo ilivyo sasa nyumbani na kwa hakika inasikitisha saaana. Yaani sijui kama kuna "kamkataba" kuwa kiongozi asitoke nje ya wale uliopewa kwenye list? Tunaona madudu ya ajabu sana yanaendelea kwenye uongozi wetu huko nyumbani na mbaya zaidi hakuna mwenye "gut" za kuuliza kulikoni? Hivi hawa watendaji wakubwa wa serikali wateuliwapo hawastahili kuidhinishwa na chombo chochote kama Bunge? Ni waziri mkuu tu ama?<BR/> Kuna haja ya kuwa na namna ya kuondoa huo uozo kabla haujanukisha sehemu nyingineMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com