tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post5466145418763949227..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Waziri Wa Fedha Anapokuwa Mfuja Fedha.Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-17125480282205290932011-01-01T02:17:22.490+00:002011-01-01T02:17:22.490+00:00SICK TO THE LEVEL!SICK TO THE LEVEL!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-4093979642776454652010-12-29T18:29:50.733+00:002010-12-29T18:29:50.733+00:00Tusipoung'oa mzizi mkuu "Kikwete" ma...Tusipoung'oa mzizi mkuu "Kikwete" matawi yatarudi tena tu. Watanzania wanavuna walichopanda. Na hii miaka mitano itakua michungu sana maana anajua ndio miaka yake yamwisho na watu wake. Huyo raisi atakayekuja kama kweli anauchungu na Tanzania anakazi kubwa saana, na kama ni msanii kama JK atakuja kuambulia makombo. Ni hayo tu am so sick with this country!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-63296134671331940122010-12-29T16:23:26.471+00:002010-12-29T16:23:26.471+00:00TANZANIA! TANZANIA! KWANZA NAONA HATA TUBADILISHE ...TANZANIA! TANZANIA! KWANZA NAONA HATA TUBADILISHE JILA LA NCHI, NIKISOMA HABARI ZA TANZANIA NAONA KAMA NACHANGANYIKIWA!! UNASOMA HABARI KICHWA KINA PIGA KELELE?! YAANI HAWA MAFISADI WANATUUWA KWA KILA SABABU, HATA KAMA HAUPO NAO KARIBU, MZALENDO WA KWELI INAKUCHOMA SANA. HUU UJINGA, UPUNGUWANI NA VIFO VINAVYOWAKABILI WATANZANIA KWA SABABU YA MAFISADI!! MTANZANIA ANAKOSA DAWA ANAKUFA, WAZIRI WAKE ANAKODISHIWA NDEGE YA MILIONI 5!TUNAANZIA WAPI JAMA? HII NI PANGA KWA PANGA HII! HAMUONI WANATUPIGA MAPANGA HAWA WATU? YAANI TUNAHITAJI BIG CHANGE.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-6184380710540002262010-12-29T14:26:50.471+00:002010-12-29T14:26:50.471+00:00Ustawi wa mmea wowote unategemea mizizi au mzizi m...Ustawi wa mmea wowote unategemea mizizi au mzizi mkuu...na hapa mzizi mkuu ni Jakaya Mrisho Kikwete kama alivyojipachika Ma-doctotirate degree na kujiita pia naye ni Dr Jakaya Kikwete. Yeye mwenyewe ni Mr kutenda Madudu na mafinyufinyu pia anatewa watu wanaofanana na yeye kutenda madudu....Tena nawajulisha wale wote waliokuwa wanapewa khanga na fulana kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya CCM hiyo ndiyo gahrama yake...Na sasa mtalipa tena kwa kutmia damu zenu ninyi watazania wazembe wa kufikiriaAnonymousnoreply@blogger.com