tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post5994755251104897891..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Uhuru wa Habari Tanzania: Tatizo ni Dola,Uoga au Kujikomba?Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-20150698371535465972010-08-24T00:08:31.139+01:002010-08-24T00:08:31.139+01:00Watanzania bado wako utumwani tofauti nikwamba wan...Watanzania bado wako utumwani tofauti nikwamba wanatawaliwa na mtu huyo huyo waliomchagua (mtanzania mwenzao). Ukweli ni kwamba viongozi wetu wanapaswa kuwa watumishi na wawakilishi wetu. Sisi ndio tunawapa kazi, bila kura yako na yangu hawana kazi hao. Vyombo vyetu vya habari vinamatatizo ya uoga na hasa ukizingatia wengi wanaoitwa waandishi wa habari wamevamia fani. Hawajui maadili ya uandishi wa habari wao wanafuata wanachoambiwa tu . Wale waliobobea kwenye fani hiyo hawatimizi wajibu wao kwasababu wanazojua wao wenyewe. Lakini hawana uzalendo kabisaa. Wanaoipenda Tanzania sidhani kama wanazidi asilimia 10 kwasasa. Wengi wetu ni ubinafsi tu. Kama kweli unaipenda nchi yako you will do anything kuitoa utumwani kwa wajanja hawa. Je ni wangapi wanaweza kulifanya hili? watanzania wenzangu mchango wako unahitajika kuuondoa huu utawala uliojilimbikizia mali. Unaweza kuchangia pesa, unaweza kumpigia kampeni Dr Slaa nyumba hadi nyumba kuhakikisha anashinda uchaguzi octoba, unaweza kumwambia mwenzio uozo wa serikali ya CCM na kwanini hatuwachagui.Unaweza kutengeneza t-shirt, vipeperushi,beji,scarf etc za Chadema. Fanya uwezalo kwa nafasi yako kuuondoa ufisadi.It is nothing personal it is about doing the right thing for the country. Tusimbebeshe Dr Slaa na wengine wachache mzigo wote wa watanzania itakuwa rahisi wao kukata tamaa. Mimi na wewe tunaweza kuwaunga mkono kwa namna moja au nyingine kuikomboa Tanzania. thanks very much!!!Anonymousnoreply@blogger.com