tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post6404226708100312908..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : WATAKAOSABABISHA AJALI SASA KUFUNGWA-JAJI KIONGOZIEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-73492349335946092612010-05-17T10:32:07.020+01:002010-05-17T10:32:07.020+01:00Hakuna juhudi za dhati kupambana na rushwa na ubad...Hakuna juhudi za dhati kupambana na rushwa na ubadhirifu pia wavunja sheria katika tanzania..hii ndiyo msingi wa hayo matatizo...barabara hazina viwango vinavyotakiwa kutoa wanaoshinda hizo tenda ni kwa kutoa mlungula kwa wahusika...matokeo yake barabara zinajengwa kama vile miujiza...angalia barabara ya Morogoro mjini kutoka msamvu kufika mjini morogoro...haiwezi hata kuingilia akilini kwamba huyo kandarasi amejenga nini....barabara ya Morogoro kutoka ubungo kwenda mpaka kibaha analia hiyo mitaro iliyopo pembeni...gair likienda tuu huko pembeni tuu barabara basi ni balaa....jaji masati iwapo kama mtaweza kushughulikia wala rushwa ambao wanashabikiwa na serikali tena bila kuguswa na wanaogopwa na serikali iliyopo basi mtaahishia kuwafungiwa madereva wote bila kupungua hizo ajali za barabarani....Hivi juzi tuu umesikia wafanyakazi wakitoa maombi ya kuongezewa malipo...je jeshi la polisi malipo yao wanayopewa yanaweza wao kumudu maisha!?Jibu hapana sasa unategemewa ufanisi wa kazi utatokana nini kam siyo rushwa ambayo inaendeleza uzembe na uvunjaji sheria....nafikiri sheria zilizopo zinatosha isipokuwa zinatoa adhabu kwa hadhi yako katika jamii...iwapo ni hoe hae basi sheria itachukua mkondo wake...na iwapo wewe ni Rais,2waziri mkuu mstaafu ama unachnagia pesa jingi CCM basi hiyo sheria haitakugusa...Msingi mkuu hatuna uwajibikaji katika kutekeleza sheria zilizopo kwa sababu ya Rushwa. Rushwa ni adui wa maendeleo na uahi wa mtanzania.Anonymousnoreply@blogger.com