tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post6807132774944209790..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Makala yangu RAIA MWEMA la 16.03.16: Mtazamo wangu katika mjadala wa 'Kiingereza cha Magufuli'Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-13527484569392834672016-03-18T11:20:57.996+00:002016-03-18T11:20:57.996+00:00Ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli tu hata ukija...Ukweli siku zote utabaki kuwa ukweli tu hata ukijaribu kuutengenezea mazingira gani haukwepeki. Katika suala la lugha mzee ni dhaifu, lazima ukweli huo tuukubali tu. Nadhani hicho pia ni kigezo kizuri kwa mkuu wa nchi ili aweze kuhusiana vizuri na mataifa mengine. Kwamba kasoma sayansi, ni utetezi ambao hauna mashiko hasa kwa msomi wa ngazi ya uzamivu na ambaye ameshika nyadhifa za juu kitaifa kama uwaziri kwa miaka 20. Ikiwa katika baadhi ya nafasi za kazi tu mtu anakosa nafasi kwaajili ya udhaifu wa lugha je si zaidi sana katika nafasi iliyo ya juu kabisa katika nchi? Tuwe wakweli tusitake kuupamba uozo uonekane kuwa sawa.<br /> Frank GMhttps://www.blogger.com/profile/13501992001309434854noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-69548122529714539292016-03-18T07:31:51.596+00:002016-03-18T07:31:51.596+00:00Kama hajui hajui tu Kama hajui hajui tu Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/02053051770602396862noreply@blogger.com