tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post7730856933075519067..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Kumbe Fedha ya Kuwaalika Brazili Ilikopwa! Swali ni Nani Aliyekopa na Nani AtalipaEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-42831051226547097932010-06-09T17:44:59.915+01:002010-06-09T17:44:59.915+01:00Kuna mdau mmoja kutoka chakarika spot naye alielez...Kuna mdau mmoja kutoka chakarika spot naye alielezea kuhusu mechi hiyo siku saba kabla ya mechi na kuieleza TFF....

Kuchanganywa kwa taarifa na matamko kwa serikali ya awamu ya nne siyo ajabu kwa sababu haina utaratibu katika utendaji ndiyo sababu wanamtegemea Sheikh Yahya katika kuendeshasha serikali na wenzetu wa magharibi wanatumia sayansi, sheria na teknolojia.

Sifa nzuri ya mwandishi kuandika habari yeyote iwe nzuri ama mbaya kwa muhusika...

Iwapo JK serikali inafanya madudu ni halali kukosolewa na kama itatokea ikafanya vyema inastahili kusifiwa pia...

Ingawa kwa sasa hakuna hata chembe ya sifa bora, zote mbaya kwa serikali ya JKAnonymousnoreply@blogger.com