tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post8034104170192868199..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : KULIKONI UGHAIBUNI-57Evarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-47988892324174406192007-04-19T14:52:00.000+01:002007-04-19T14:52:00.000+01:00Unaongelea ya Rift Valey Fever mapema hivi? tunash...Unaongelea ya Rift Valey Fever mapema hivi? tunashangaa au wewe ndiyo umekuja nayo? Maana zamani haikuwepo!
Karibu na makala zako, ujue wanablogu sio wasoma makala ndefu kwa jinsi technologia yetu ilivyo, tunaogopa kukikodolea macho muda mrefu hiki kioo kinachotoa maandishi na zile picha...
Karibumloyihttps://www.blogger.com/profile/09380827217064136910noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-46705688429670364292007-04-19T10:14:00.000+01:002007-04-19T10:14:00.000+01:00ah mkuu heshimaa yakooo sanaa.. mbona kimyaa snaaa...ah mkuu heshimaa yakooo sanaa..
mbona kimyaa snaaaa....
nafanya mpango nikuweke kwenye
front page yangu soon..
sasa fanya mambo ya ku update bloh yetu hiyoo
kila mara...
mimi nakuhakikishia ntaitangaza kwa
nguvu zangu zotee mpaka kieleweke..
wakatabahu

haki-hakingowi.blogspot.comAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06141366595981290642noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-59299960060223734492007-04-10T08:11:00.000+01:002007-04-10T08:11:00.000+01:00Yesss Ahmadinejad nadhani ni aina ya kiongozi anay...Yesss Ahmadinejad nadhani ni aina ya kiongozi anayehitajika katika ulimwengu huu wa kibabe ambapo kila mtu anataka ajionyeshe mbabe na anataka anyakue cha mwingine Ahmadinejad tunahitaji kama yeye na washikaji zake kina Hugo Chavez, Luda Da Silva, na wengineo huraa, Bush na Blair wanaboa sana wanarutubisha uranium halafu wanakataa wengine wasirutubishe ni ujinga.

Kuhusu hiyo semina ya mzee Malechela anayopendekeza ni michosho tu kwani watatumia mamilioni ya fedha za walipa kodi kushibisha matumbo na bado RVF itaendelea kutesa hivyo cha maana kufanya ni kuzitumbukiza pesa zote kudhibiti RVF.

Anyway mambo vipi habari za siku tele nimefurahi sana kukupata mzee, maana ni miaka mingi tangu tupoteane pale Mlimani. Vipi Sospeter unawasiliana naye, Gheto na washikaji wengine vipi???mzee wa mshituhttps://www.blogger.com/profile/06228758214914013289noreply@blogger.com