tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post8829132838806328537..comments2023-12-12T11:46:45.188+00:00Comments on Kulikoni Ughaibuni : Msikie Huyu NaeEvarist Chahalihttp://www.blogger.com/profile/08220429042701710191noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-49613633183710928892010-10-24T01:16:43.993+01:002010-10-24T01:16:43.993+01:00Almas awe wa kweli au feki hana alilchoongea zaidi...Almas awe wa kweli au feki hana alilchoongea zaidi ya jazba na kujikomba kwa kundi la mafisadi. Sijui kama ametumwa. Kwanini asijibu hoja badala yake aanze kebehi ambazo nazo hazijui?Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-6139016652978674272010-10-23T08:53:18.088+01:002010-10-23T08:53:18.088+01:00Iwapo aliyejibu hiyo makala yako ni kweli mtu wa u...Iwapo aliyejibu hiyo makala yako ni kweli mtu wa usalama wa Taifa!!!!!!!!, Na kama hayo yametokana na baraka za Taasisi hiyo basi tunasafari ndefu sana ya kuwa na taasisi inayotekeleza majukumu yake kwa ajili ya umma........!!!!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-61506852840007095862010-10-23T06:30:00.669+01:002010-10-23T06:30:00.669+01:00kwa kifupi ndugu zangu mnapaswa mfahamu kuwa vyomb...kwa kifupi ndugu zangu mnapaswa mfahamu kuwa vyombo vyoote vya dola yaani polisi, jeshi, magereza ikiwemo idara ya usalama vinatekeleza maslahi ya watawala kuhakikisha wanatawala kwa usalama bila bugudha wala usumbufu, ukilifamu hili nadhani utakuwa na majibu mazuri ya nini bwana chahali anataka kukumbusha , na ni jambo hili ambalo kila mtu anaogopa kulizungumza, wakuu na watumishi wa vyombo vya dola hula kiapo cha utii kwa amiri jeshi mkuu ambye pia ni Rais wa jamuhuri ya muungano na pia kwa nafasi yake ni mwenyekiti wa ccm, kazi kwenu!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-353528163527056062010-10-23T05:28:11.717+01:002010-10-23T05:28:11.717+01:00"Naamini kwamba ufisadi si sera ya Serikali w..."Naamini kwamba ufisadi si sera ya Serikali wala ya Chama tawala-CCM- na ni vyema ikubalike kwamba, kwa sasa pengine tofauti na ilivyokuwa huko nyuma, ufisadi ni suala la mtizamo na hulka ya mtu kuliko kuonekana kama mtindo wa maisha wa baadhi ya Watanzania.
Serikali ya Tanzania inazingatia utawala wa sheria na tungejali sana suala la mtu kumiliki vitu kama gari, nyumba nzuri, vitu ambavyo wengine hawana, mtu huyu akaonekana kuwa fisadi, Watanzania wengi wangeishia jela."

Ndugu Almasi acha kusikiliza propaganda za mafisadi (kama wewe sio mmojawapo). ‘ufisadi’ unaozungumzwa katika siasa makini (sio za mitaani) kisawe chake halisi katika Kiingereza ni “kleptocracy”. Kwa vile unatumia mtandao, jaribu ku-google uone ‘’kleptocracy” ilivyofasiliwa. EPA & co ni mifano hai isiyohitaji shahada ya uzamivu kuitambua. Hakuna sera ya chama cha upinzani inayochukia au kuzuia watu kumiliki mali na kuwa matajiri kama ni kwa njia halali. Sera za akina Dr. Slaa zinalaani UFISADI kama ambavyo utakuta umefasiliwa uki-google ‘kleptocracy’.

mlalahoiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-26327165.post-86053616213290636962010-10-23T04:21:07.667+01:002010-10-23T04:21:07.667+01:00Mmmmh!:-(Mmmmh!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com