5 Mar 2008Hillary Clinton amefanikiwa kuibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya urais kupitia chama cha Democrats katika majimbo muhimu ya Ohio na Texas na pia Rhode Island  huku mpinzani wake,Barack Obama, akishinda jimbo la Vermont.Pengine ushindi huo wa Hillary unaendana na mtizamo wa baadhi ya wachambuzi wa siasa za Marekani,kama vile David Gergen,ambao wamekuwa wakionya not to count out Hillary mapema hasa kwa kuzingatia namna Clinton political machine inavyofanya kazi.Ni muhimu pia kukumbuka kwamba kwa muda mrefu sana hakuna mgombea aliyewahi kushinda urais wa Marekani pasipo kushinda Ohio,na hiyo inaweza kuelezea umuhimu wa ushindi wa Hillary katika jimbo hilo

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Philemon Chahali 2006-2018

Powered by Blogger.

Download "Chahali Blog ANDROID App"