Blogu hii ni ya uchambuzi wa habari na matukio.Mtindo wa uchambuzi ni wa kukosoa na kushauri.Pamoja na uchambuzi,blogu hii pia ina malengo ya kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha.Kadhalika, habari zinazowekwa aidha kwa ajili ya kuhabarisha au uchambuzi zinaambatana na picha zinahohusiana na habari husika.Lugha kuu inayotumika ni Kiswahili japo pia kuna habari zilizo katika lugha ya Kiingereza.

Kila msomaji ana haki,na anakaribishwa kwa dhati, kuchangia na/au kukosoa.Ni kwa namna hiyo ndivyo blogu hii itakavyoweza kukidhi matakwa ya wasomaji.Japo uamuzi wa mwisho kuhusu yaliyomo kwenye blogu hii ni wangu, walengwa wakuu katika uanzishaji na uendeshaji wa blogu hii ni wewe msomaji mpendwa.

Karibuni sana.

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.