28 Mar 2012

Humiliation: Jose Gonzales has to stand carrying this sign on a street corner after his father caught him stealing $100 from his cousin
Pengine badala ya kuwabebesha mzigo walipa kodi kwa kuwapeleka gerezani mafisadi (ndoto isiyowezekana)-ambako watakula na kulala bure- adhabu mwafaka kwao ingekuwa kuwatembeza mitaani wakiwa wametundikwa mabango yenye kueleza makosa yao.Na hapa chini tunapewa darasa mwafaka la namna ya kutekeleza adhabu hiyo ya kudhalilisha.

Mzazi mmoja huko Denver nchini Marekani aliamua kumpa mwanae adhabu ya kutembea na bango linalotamka bayana kuwa "Mie ni mwizi, nimeiibia familia yangu." Angalia picha hapo juu pamoja na video hapo chini, kisha bonyeza kiungo kusoma habari kamiliCHANZO na kwa habari kamili: Daily Mail

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Philemon Chahali 2006-2018

JUMUIKA NAMI TUMBLR

  Sehemu Ninahifadhi Nyaraka Zangu!

Powered by Blogger.

Download "Chahali Blog ANDROID App"

UNGANA NAMI FACEBOOK