25 Jan 2013
25.1.13
Evarist Chahali
No comments
Hoja ya Chadema ni kwamba kama Nape angekuwa mtoto halali wa Marehemu Brigedia Moses Nnauye basi lazima angetajwa kwenye tangazo hilo la kumbukumbu ya kifo cha mwanasiasa huyo maarufu. Je jina la Nape lilisahaulika kimakosa?Je hoja ya Chadema ina ukweli ndani yake?Labda Nape atajitahidi kutolea ufafanuzi tashwishwi hii.
Chanzo na kwa habari kamili: Jamii Forums
24 Jan 2013
23 Jan 2013
22 Jan 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)






































































