19 Sept 2008


Ni jambo lililo wazi kwamba miongoni mwa wasiotaka kumuona Obama akiingia White House ni pamoja na wale wanaompinga sio kwa sera au uwezo wake bali asili yake (weusi wake).Katika hili kuna weupe wengi na weusi wachache,lakini wote ni wabaguzi wa rangi.Kwa weupe hao,kuongozwa na mtu mweusi ni jambo lisilofikirika kwao.Akilini mwao,mtu mweusi hajafikia hatua ya kuongoza taifa hilo.Kwa weusi wachache,Obama si mwenzao.Ni mtu wa tabaka tofauti na wao.Ukaribu wake na weupe unamtenga na wao.Makundi yote haya mawili yanaongozwa zaidi na hisia kuliko akili.Ni wazembe flani.Hata hivyo,hawa si wa kupuuzwa japo ni vigumu kuwabadili misimamo yao.Kuhusu namna suala la race linavyoweza kumuathiri Obama,SOMA MAKALA HII.Soma na HII kuhusu McCain anavyochomekea ishu za race.

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.