16 Mar 2009
KIPINDI CHA INSIDE AFRICA CHA CNN WIKI HII KINA SEGMENT KUBWA KUHUSU TANZANIA.MOJA YA YALIYONIVUTIA KATIKA KIPINDI HICHO NI MAHOJIANO KATI YA RIPOTA WA CNN,DAVID MCKENZIE, NA MSANII WETU NAKAAYA SUMARI.MWANADADA ALIJIELEZA CONFIDENTLY.I WISH NINGE-RECORD VIDEO LAKINI KWA SABABU ZILIZOKUWA NJE YA UWEZO WANGU NILIAMBULIA PICHA HIZO HAPO JUU.UKIPATA WASAA UNAWEZA KUCHEKI VIDEO YA SEGMENT HIYO KWENYE TOVUTI YA CNN-INSIDE AFRICA PINDI WATAKAPOIWEKA (HADI MUDA HUU BADO HAIJAWEKWA).PENGINE BAADA YA KUANGALIA SEGMENT NZIMA UNAWEZA KUBAKI NA MASWALI,LIKE I DID, KUHUSU ASSESSMENT YA RIPOTA HUYO WA CNN KUHUSU MWENENDO WA UCHUMI WETU.0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Philemon Chahali 2006-2018

JUMUIKA NAMI TUMBLR

  Sehemu Ninahifadhi Nyaraka Zangu!

Powered by Blogger.

Download "Chahali Blog ANDROID App"

UNGANA NAMI FACEBOOK