Uzuri swala gumu! Kwa kuwa nauhakika ukitembea na huyo MBWA watu LUKUKI hasa wadada hapa Ulaya hawatakosa kukuambia ``OOHH she is so cute!´´
Bwana Kitururu hujakosea. Kila mbwa hapa ulaya ni mzuri tu kiasi cha kuabudiwa na kuhusudiwa kuliko mtu mweusi. Hata hivyo si kosa maana mbwa lazima wapendane.
© Evarist Chahali 2006-2022
Uzuri swala gumu! Kwa kuwa nauhakika ukitembea na huyo MBWA watu LUKUKI hasa wadada hapa Ulaya hawatakosa kukuambia ``OOHH she is so cute!´´
ReplyDeleteBwana Kitururu hujakosea. Kila mbwa hapa ulaya ni mzuri tu kiasi cha kuabudiwa na kuhusudiwa kuliko mtu mweusi. Hata hivyo si kosa maana mbwa lazima wapendane.
ReplyDelete