2 May 2011Breaking news kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa ni kuhusu kuuawa kwa gaidi wa kimataifa Osama Bin Laden.Rais Barack Obama ametangaza taarifa hizo ambazo zitakuwa ahueni kubwa kwa Wamarekani baada ya kumwinda Osama kwa muongo mzima tangu mashambulizi ya September 11,2001 ambayo inaaminika yalipangwa na Osama.

Taarifa zaidi baadaye

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Philemon Chahali 2006-2018

JUMUIKA NAMI TUMBLR

  Sehemu Ninahifadhi Nyaraka Zangu!

Powered by Blogger.

NUNUA KITABU HIKI

NUNUA KITABU HIKI

NUNUA KITABU HIKI MTANDAONI

NUNUA NAKALA YA KIELEKTRONIKI (EBOOK)

Download "Chahali Blog ANDROID App"

UNGANA NAMI FACEBOOK