Picha ya Kikwete na Wastaafu Mwinyi na Mkapa yazua maswali (Shuhudia Mwenyewe)


Ukiangalia picha hiyo juu kwa makini utabaini kuwa suruali ya Rais Kikwete ni kama inaashiria kwamba anaumwa.Of course,nusu ya juu iko kawaida (pengine kwa sababu ya bullet vest kama alikumbuka kuivaa) lakini nusu ya chini inaonyesha kama amekonda.

Inawezekana ni wembamba tu wa miguu ya Rais wetu lakini...well,nakuachia msomaji uhiimishe mwenyewe.

Imewekwa na Evarist Chahali na 5 Maoni

5 comments:

Post a Comment

LinkWithin

Blog Widget by LinkWithin

© Evarist Philemon Chahali 2006-2012

  • Zilizovuma
  • Mada
  • Zilizopita