11 Dec 2011


Ukiangalia picha hiyo juu kwa makini utabaini kuwa suruali ya Rais Kikwete ni kama inaashiria kwamba anaumwa.Of course,nusu ya juu iko kawaida (pengine kwa sababu ya bullet vest kama alikumbuka kuivaa) lakini nusu ya chini inaonyesha kama amekonda.

Inawezekana ni wembamba tu wa miguu ya Rais wetu lakini...well,nakuachia msomaji uhiimishe mwenyewe.

5 comments:

 1. Mbona kama imekuwa doctored jmn? Juu ni mtu mwingine na chini ni mtu mwingine

  ReplyDelete
 2. nadhani huku ni kujadili watu, sio kujadili hoja. nadhani hata kama utawala wake ungekuwa mbaya kiasi gani, hatudhamirii kikwete aumwe ama awe "promoted to heaven"

  ReplyDelete
 3. I use to love this blog for constructive criticism of our political system and politicians, however, I have noticed recently you are starting to lose your touch and have cheap shots instead of what you are good at. Let us hear mature discussion instead of the way the trouser looks or bullet proof he is wearing.

  ReplyDelete
 4. Mortality?We start with 4-0 in deciosion making, Bla bla bla,while China,Eu,Americans,takes all minerals away from our country...!In return we get a pancake roads which kills many TZ'n with fake driving licence,left Tz'ns only with nonsens talk talk talk and not able to make.....!Education is the kee to all problems we have.No good education to all Tz'ns means 6-0 to life.

  ReplyDelete
 5. SIONI KAMA NI VIBAYA KUONGELEA... KAMA HAVIELEWEKI NI MUHIMU KUHOJI AFYA MUONEKANO N.K, SI NDIO MKUU WA NCHI? NA MUHIMU KUHOJI HIYO BULLET PROOF!(kama kaivaa kutokana na muonekano) YA NINI KAMA UNAONGOZA NCHI YAKO INAVYOTAKIWA?

  ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube