HAHAHAHA....MWAKA HUU NI WA WATANI WA JADI...IDUMU EAST AFRICAN SPIRIT !!!Safari ya kwenda 'Nyumba Nyeupe' imeiva!!! A picture is worth a thousand words !.Duu ndugu zake Obama from Kenya ambitiously paying a visit to the state House in USA.No Visa with them! Furious, they don't want to be stopped. Mtafika kweli? Na wabongo wachache wamo, eti sisi ni majirani!!
14 Nov 2008
- 14.11.08
- Evarist Chahali
- JUST FOR LAUGHS
- No comments
Nimetumiwa hii na jamaa yangu mmoja mkereketwa wa Muungano wa Afrika Mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment