16 Nov 2008


NAONA HAPO WAMEKOSEKANA WATOTO WA UMRI WA SEKONDARI WANAOLALAMIKIA MAPUNGUFU KATIKA SHULE ZAO ZA VODA FASTA NA WAJUKUU WALIO SHULE ZA MSINGI WANAOSUGUKA MAKALIO KWA KUKAA SAKAFUNI MADARASANI.WAKATI NI SASA WA KUEPUSHA MLIPUKO WA BOMU HILI LA MUDA (TIME BOMB).

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.