5 Nov 2008

Wakenya wakifuatilia matokeo.

Sarah Obama,huko Kogelo Kenya, akionekana kutoamini kuwa mjukuu wake ameshinda Urais wa Marekani

Jakarta,Indonesia.

Akinamama wakisherehekea huko Kogelo,Kenya

Jarusalem,Israel.

Mwanadada huyu wa Manila,Philipines haamini macho yake kuwa Obama ameshinda.

Muungwana huyu wa London allizidiwa na furaha mpaka akaanguka.

Jakarta,Indonesia

Athens,Ugiriki.

Wamarekani walioko Shanghai,China wakisherehekea ushindi wa Obama.

0 comments:

Post a Comment

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube