1 Jan 2009

FASHIFASHI LONDON EYE JIJINI LONDON,UINGEREZA

FIREWORKS ST ANDREWS STREET,EDINBURGH,SCOTLAND.

WARSAW,POLAND.

VILNIUS,LITHUANIA.


SALA YA MWAKA MPYA POPE BENEDICT KATIKA MISA YA MKESHA WA MWAKA MPYA HUKO VATICAN CITY,VATICAN.

SHAMRASHAMRA JIJINI VALENCIA,SPAIN.

TAIPEI,TAIWAN.

SOFIA,BULGARIA.

RED SQUARE,MOSCOW

MANILA,PHILIPPINES.

POLISI WAKIDHIBITI WAANDAMANAJI WA KIPALESTINA MKESHA WA MWAKA MPYA HUKO ATHENS,UGIRIKI

GISBORNE,NEW ZEALAND.

CHAMPS ELYSEE,JIJINI PARIS,UFARANSA.

BERLIN,UJERUMANI.

FASHIFASHI JIJINI ATHENS,UGIRIKI.

MALAYSIA.

HONGKONG


SYDNEY,AUSTRALIA.

AUCKLAND,NEW ZEALAND.

2 comments:

 1. Habari kaka Evarist

  Nakutakia heri ya mwaka mpya wa 2009.
  Naomba tuendelee kushirikiana kama mwaka uliopita.

  ReplyDelete
 2. Kaka Evarest, nilipokuwa nikiangalia picha hizi, nikakumbuka namna sisi huku nyumbani tunavyoupokeaga mwaka.
  Hatukupata bahati ya kupata picha za nyumbani usiku huo, lakini bila shaka tungeona watu wakizunguka na madebe, wengine wakichoma matairi barabarani. Tunatofautiana sana.

  ReplyDelete

Categories

Blog Archive

© Evarist Chahali 2006-2022

Search Engine Optimization SEO

Powered by Blogger.

Podcast

Chaneli Ya YouTube